Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa AU kuhusu mzozo wa DRC, waasi wa M23 waudhibiti mji wa Bukavu
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:20:12
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mjini Addis Ababa Ethiopia ambapo wamemchagua kiongozi wa tume ya Umoja wa Afrika AU kati ya wagombea watatu, lakini pia mapigano yanayoendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda dhidi ya jeshi la serikali FARDC na ambao sasa wameudhibiti mji wa Bukavu huko Kivu kusini mashariki mwa DRC, mapigano ya nchini Sudan, siasa za Uganda na pia kwenye nchi za Afrika Magharibi. Lakini pia zoezi la ubadirishanaji wa mateka huko Gaza