Habari Za Un
Dola bilioni 6 zahitajika kusaidia kukabiliana na janga la kibinadamu nchini Sudan
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:56
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Kutokana na hali tete ya kibinadamu nchini Sudan, Umoja wa Mataifa na wadau wake leo Februari 17 jijini Genea, Uswisi, wamezindua mipango ya misaada ya kibinadamu na wakimbizi kwa mwaka huu 2025 kwa Sudan, wakihitaji jumla ya dola bilioni 6 kusaidia karibu watu milioni 26 ndani ya Sudan na kanda nzima. Selina Jerobon na maelezo zaidi.