Habari Za Un

Operesheni za kijeshi Jammu na Kashmir hazina tija – Guterres

Informações:

Sinopsis

Huko barani Asia majirani wawili India na Pakistani wameendelea kuoneshana mvutano kati yao kwenye eneo la Jammu na Kashmiri tangu tarehe 22 mwezi uliopita wa Aprili baada ya shambulizi huko Pahalgam. Katibu Mkuu  wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa wito kama anavyoelezea Assumpta Massoi.