Jua Haki Zako

Kenya : Harakati za kutetea jinsia

Informações:

Sinopsis

Nchini Kenya, harakati za kutetea njisia inazidi kushika moto mwanaharakati Njeri Mwangi, akiendelea kuhamasisha raia. Skiza makala haya kufahamu mengi.