Habari Za Un
Leo ni siku ya Ziwa, wakazi wa Ziwa Victoria wapaza sauti ya faida zake
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:01:34
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Leo ni maadhimisho ya kwanza ya siku ya Ziwa Duniani yakibeba maudhui "Ziwa ni uti wa mgongo wa sayari yetu" na ili kuthibitisha hilo tunakupeleka Mwanza Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ambako , Bosco Cosmas kutoka Radio washirika SAUT FM anamulika maoni ya wananchi ni kwa vipi ziwa Victoria limekuwa msaada na mkombozi kwao.