Habari Rfi-ki

Dunia itarajie nini kutoka kwa uongozi wa Rais wa Marekani Donald Trump

Informações:

Sinopsis

Kwenye kipindi cha leo tunaangazia kurejea afisini  kwa rais wa Marekani Donald Trump baada ya kuapishwa kama rais  na kuahidi nchi mpya.Tumemuuliza msikilizaji dunia itarajie nini  kutoka kwa uongozi Wake na je Waafrika wana matumaini gani kuhusu kuongozi wake Trumpµ?