Sbs Swahili - Sbs Swahili

Australia Yafafanuliwa: Unaweza zingatia kumteua mtu kwa tuzo ya Order of Australia?

Informações:

Sinopsis

Unajua mtu anaye toa mchango usio wa kawaida katika jamii? Anaweza kuwa mtu kutoka mazingira yoyote, au mwenye taaluma yoyote.