Sbs Swahili - Sbs Swahili

Amy alidhani amepata kazi kama mwanafunzi wa kimataifa- alikuwa amekosea

Informações:

Sinopsis

Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.