Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Trump apongeza mafanikio ya utawala wake katika hotuba kwenye kikao cha pamoja cha Bunge - Machi 05, 2025
05/03/2025 Duración: 30min -
Kiongozi wa kijeshi wa Gabon atangaza kuwania urais mwezi Aprili - Machi 04, 2025
04/03/2025 Duración: 29min -
Viongozi wa Ulaya wakutana katika mkutano wa dharura kujadili mpango wa amani wa Ukraine - Machi 03, 2025
03/03/2025 Duración: 29min -
Upatikanaji wa vifaa duni sokoni umepelekea ulaghai mpya wa mitandao kupitia AI barani Afrika, ripoti mpya yafichua. - Februari 28, 2025
28/02/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Malawi waliyokuwa wakifadhiliwa na USAID watatizika baada ya msaada kusitishwa. - Februari 27, 2025
27/02/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Chama cha ACT Wazalendo chalalamikia zoezi la uandikishaji wa wapiga kura Zanzibar. - Februari 26, 2025
26/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
UNAIDS yasema kuwa kusitishwa kwa msaada wa Marekani kutaathiri juhudi za kupambana na Ukimwi. - Februari 25, 2025
25/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Kundi la RSF pamoja na washirika wake watia saini mkataba wa kuunda serikali sambamba Sudan. - Februari 24, 2025
24/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
-
WFP lajitahidi kufikisha misaada ya chakula kwa watu wote wa Sudan waliyotatizika kutokana na vita. - Februari 14, 2025
14/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Uhuru ashauri viongozi wa Afrika kujifunza kujitegemea badala ya kutegemea mataifa ya kigeni. - Februari 13, 2025
13/02/2025 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Trump anaonekana kubadili msimamo kuhusu mpango wake wa kuchukua udhibiti wa Gaza - Februari 12, 2025
12/02/2025 Duración: 29min -
Zaidi ya wanajeshi 100 watorokea Rwanda kufuatia mapigano ya Goma. - Februari 11, 2025
11/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Waasi wa M23 wasemekana kukaribia kabisa kuuchukua mji wa Goma mashariki mwa DRC. - Februari 10, 2025
10/02/2025 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Umoja wa Mataifa waanza mazungumzo na M23 kupeleka misaada Goma - Februari 07, 2025
07/02/2025 Duración: 30min -
Marekani yasusia mkutano wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini - Februari 06, 2025
06/02/2025 Duración: 29min