Sinopsis
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Episodios
-
Mratibu wa mkoa katika Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania anaelezea mtazamo wake na changamoto wanazopitia wanandoa katika jamii zetu. - Februari 21, 2025
21/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana nchini Tanzania wanaelezea changamoto wanazoziona wakati wanapotaka kujihusisha na nafasi za uongozi katika siasa. - Februari 20, 2025
20/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 19, 2025
19/02/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa - Februari 18, 2025
18/02/2025 Duración: 29minMwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa
-
Vijana katika mji wa Bukavu nchini DRC wanaelezea changamoto za ghafla wanazopitia baada ya kundi la M23 kuingia kwenye mji huo. - Februari 17, 2025
17/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 14, 2025
14/02/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Waandishi wa habari wanaelezea mtazamo wao iwapo redio bado ina mchango mkubwa kwa jamii katika maadhimisho ya Siku ya Redio Duniani. - Februari 13, 2025
13/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 12, 2025
12/02/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Changamoto zinazowakabili wasichana na wanawake katika ufikiaji wa masomo ya sayansi katika maadhimisho ya kimataifa ya siku ya STEM. - Februari 11, 2025
11/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Mwanaharakati wa ukeketaji Tanzania anasema kuna mafanikio makubwa katika utoaji elimu kwa jamii ili kuzuia ukeketaji nchini humo. - Februari 10, 2025
10/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Super Bowl ya 59 Marekani itachezwa Februari tisa na mafahari wawili wa timu ya Kansas City Chiefs na Philadelphia Eagles huko New Orleans. - Februari 07, 2025
07/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Februari 06, 2025
06/02/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan - Februari 05, 2025
05/02/2025 Duración: 29minWadau Afrika Mashariki wamkumbuka AgaKhan
-
VOA Express - Februari 04, 2025
04/02/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Msanii Tems ameshinda tuzo za 67 za Grammy nchini Marekani katika kipengele cha Best African Music Performance. - Februari 03, 2025
03/02/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
VOA Express - Januari 31, 2025
31/01/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Wakulima wa kahawa Afrika Mashariki walalamikia kuhujumiwa na mamlaka na madalali - Januari 30, 2025
30/01/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
-
VOA Express - Januari 29, 2025
29/01/2025 Duración: 29minVOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo. VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Vijana huko mashariki mwa DRC wanaelezea hali ya mapigano katika eneo na namna inavyoathiri shughuli zao za kila siku za kuleta maendeleo. - Januari 28, 2025
28/01/2025 Duración: 29minVOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
-
Waasi wa M23 wameingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo - Januari 27, 2025
27/01/2025 Duración: 29minWaasi wa M23 wameingia katikati ya mji mkubwa mashariki wa Congo