Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 112:48:27
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Wakenya waingia debeni jimboni Victoria

    27/06/2025 Duración: 13min

    Wanachama wa Jumuiya yawa Kenya wanao ishi Victoria (KCV), wanashiriki katika uchaguzi wa bodi mpya ya viongozi wao.

  • Taarifa ya Habari 27 Juni 2025

    27/06/2025 Duración: 15min

    Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la taifa.

  • Australia ya Fafanuliwa: Mwongozo wako wa safari za theluji nchini Australia

    27/06/2025 Duración: 16min

    Unapenda theluji kiasi gani? Au ume wahi iona?

  • Taarifa ya Habari 26 Juni 2025

    26/06/2025 Duración: 04min

    Waziri wa fedha wa shirikisho Katy Gallagher ametetea bajeti ya ulinzi ya Australia, wakati kuna shinikizo kutoka humu ndani na kutoka ng’ambo.

  • SBS Learn Eng Ep 39 Jinsi yakufanya marejesho yako ya ushuru

    26/06/2025 Duración: 16min

    Je, unajua jinsi yakufanya marejesho ya ushuru?

  • Shariff "vijana tuongeze bidii katika shughuli zetu, tusitegemee wanasiasa"

    26/06/2025 Duración: 11min

    Neno goons lina sifa mbaya katika jamii, haswa kwa vijana wengi ambao hu husishwa na maswala yanayo enda kinyume na sheria na maadili mazuri.

  • Taarifa ya Habari 24 Juni 2025

    24/06/2025 Duración: 15min

    Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia imesimamisha uhamishaji kwa mabasi kutoka Israel, kufuatia shambulizi la Marekani katika vifaa vya nyuklia vya Iran ila, inajiandaa kwa uwezekano wakufanya uhamisho kama anga ya Israel itafunguliwa tena.

  • SBS Learn Eng Ep19 Jinsi ya kupanda Bustani na mimea | Bustani za jamii

    24/06/2025 Duración: 13min

    Je, unajua jinsi ya kuzunguza kuhusu jinsi yakupanda bustani ya jamii na miema?

  • Amy alidhani amepata kazi kama mwanafunzi wa kimataifa- alikuwa amekosea

    24/06/2025 Duración: 12min

    Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.

  • Taarifa ya Habari 20 Juni 2025

    20/06/2025 Duración: 15min

    Australia imesimamisha oparesheni katika ubalozi wake katika mji mkuu wa Iran, nakuamuru kuondoka kwa maafisa wote wa Australia kwa sababu yakudorora kwa mazingira ya usalama.

  • Jinsi bima ya nyumba na vilivyomo hufanya kazi nchini Australia

    20/06/2025 Duración: 12min

    Haipendezi kufikiria kuhusu matukio yanayo weka nyumba na mali yako hatarini, ila haviko kawaida.

  • Taarifa ya Habari 19 Juni 2025

    20/06/2025 Duración: 05min

    Ulaya imechukua nafasi yaku fanya mashauriano na Iran, mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ujerumain na Ufaransa wanazungumza na mshirika wao kutoka Iran.

  • Wakimbizi wafunga magoli na kujenga madaraja

    17/06/2025 Duración: 07min

    Wachezaji wa soka katika mashindano mjini Perth, wanafanya mengi zaidi yakufunga magoli, wanajenga madaraja kati ya jamii naku mulika nguvu ya jamii zawakimbizi wa Magharibi Australia.

  • Taarifa ya Habari 17 Juni 2025

    17/06/2025 Duración: 15min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amefanya mikutano na rais mpya wa Korea Kusini, pamoja na katibu mkuu wa NATO pembezoni mwa mkutano wa G7.

  • Vyombo vya habari hufanyaje kazi nchini Australia?

    17/06/2025 Duración: 18min

    Uhuru wa vyombo vya habari na vyombo vya habari tofauti ni alama muhimu ya afya nzuri ya demokrasia ambako raia na waandishi wa habari wana mamkalaka ya kujielezeza, kupata taarifa na kuchapisha bila hofu ya kuingiliwa au adhabu kutoka kwa serikali.

  • Taarifa ya Habari 16 Juni 2025

    16/06/2025 Duración: 07min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema mazungumzo kati yake na mshiriki wake kutoka Canada katika mkutano wa G7, ilikuwa fursa yaku imarisha tena uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

  • Socceroos wafuzu kucheza katika Kombe la Dunia baada ya kuishinda Saudi Arabia

    13/06/2025 Duración: 07min

    Wiki hii timu ya mpira wa miguu ya taifa Socceroos, ili fuzu kwa Kombe la Dunia tena baada yakupata ushindi dhidi wenyeji wao Saudi Arabia.

  • Taarifa ya Habari 13 Juni 2025

    13/06/2025 Duración: 15min

    Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Rais wa Marekani Donald Trump.

  • Jinsi ya kuepuka ulaghai wa mapenzi nchini Australia

    11/06/2025 Duración: 13min

    Mwaka jana pekee, zaidi ya kesi 3200 za ulaghai wa mapenzi zili ripotiwa nawa Australia.

  • Taarifa ya habari 10 Julai 2025

    10/06/2025 Duración: 15min

    Kiongozi wa Tasmania wa chama cha Liberal anatarajiwa kuitisha rasmi uchaguzi wa mapema hii leo, hatua itakayo rejesha jimbo hilo la kisiwa katika uchaguzi wa pili katika muda wa miaka mbili.

página 1 de 27