Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 115:44:05
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Waziri Mkuu atembelea vikosi vya taifa Dubai akielekea katika kongamano la NATO
28/06/2022 Duración: 09minWanachama wa serikali ya Waziri Mkuu Anthony Albanese, wanapokea kwa ukarimu ng’ambo kabla ya kongamano la NATO mjini Madrid wiki hii.
-
Taarifa ya Habari 26 Juni 2022
26/06/2022 Duración: 14minWabunge huru wamkosoa vikali Waziri Mkuu, baada yakupunguziwa idadi yawafanyakazi.
-
Uamuzi wa serikali kupunguza idadi yawafanyakazi wakasirisha wabunge huru
26/06/2022 Duración: 07minWabunge wame zua ukosoaji mkali dhidiya waziri mkuu, kwa uamuzi wake wakukata idadi yawafanyakazi wao wa ushauri kwa theluthi tatu.
-
Mama nitiliye wa Goodna afunguka kuhusu mgahawa wake
22/06/2022 Duración: 11minKwa muda mrefu wakaaji wa kitongoji cha Goodna, Queensland wame kuwa waki imba sifa za mgahawa wa Bi Esther kwa jina la Mama Nitiliye.
-
Chanjo za UVIKO-19 za watoto wenye chini ya miaka tano za idhinishwa Marekani
21/06/2022 Duración: 06minChanjo za UVIKO -19 kwa watoto wenye chini ya miaka tano nchini Marekani zinaweza anza tolewa wiki hii, mamlaka wakisubiri idhini kutoka vituo vya kudhibiti ugonjwa nakuzuia.
-
Taarifa ya Habari 21 Juni 2022
21/06/2022 Duración: 15minMamlaka yazingatia kutoa chanjo ya UVIKO-19 kwa watoto wenye miezi sita hadi miaka mitano Australia.
-
SBS Swahili Mubashara 19 Juni 2022
20/06/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Wiki Yawakimbizi: Fursa yakupata uzoefu nakusherehekea utofauti wa jamii zawakimbizi
19/06/2022 Duración: 11minKila mwaka ma milioni ya watu hulazimishwa kukimbia nyumba zao kwa ajili ya usalama.
-
Taarifa ya Habari - 19 Juni 2022
19/06/2022 Duración: 15minSerikali ya New South Wales inawasilisha mfumo wa nyumba wenye thamani ya $780.4 milioni, kwa wanao nunua nyumba kwa mara ya kwanza.
-
Wafanyakazi wenye mishahara ya chini kupokea nyongeza yamalipo
15/06/2022 Duración: 09minKatika wiki mbili zijazo, idadi yawafanyakazi takriban milioni 2.7 wenye kima cha pato la chini kote nchini, wata shuhudia ongezeko katika mishahara yao.
-
Rosemine afunguka kuhusu fursa za Magharibi Australia
12/06/2022 Duración: 08minJamii zawatu wenye tamaduni mbali mbali wanao ishi Magharibi Australia, wamepata sehemu mpya yakupokelea huduma, kuchangia taarifa nakuendesha shughuli zao.
-
Taarifa ya Habari 12 Juni 2022
12/06/2022 Duración: 12minBill Shorten akosoa usimamizi wa mfumo wa N-D-I-S akisema, ni jinamizi la ukiritimba na ame ahidi kurejesha imani tena kwa NDIS
-
Radjabu:"Ni wakati wangu kutoka nyuma ya pazia"
08/06/2022 Duración: 07minLuundo Radjabu ni msanii ambaye amekuwa akiimba naku wasaidia wasanii wa muziki wa injili kwa miaka mingi.
-
SBS Swahili Mubashara 7 Juni 2022
08/06/2022 Duración: 54minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Je! ushawahi kosa kazi "kwasababu ya kiwango chako cha Kiingereza" Australia?
07/06/2022 Duración: 18minIdadi ya watu wenye asili ya Afrika Mashariki na Kati, inaendelea kuongezeka kila mwaka jimboni Queensland.
-
Taarifa ya Habari 7 Juni 2022
07/06/2022 Duración: 15minMweka hazina wa taifa afariji familia zawa Australia zinazo kabiliana, na madhara yakiuchumi ya ongezeko ya kiwango cha riba, hali ambayo imefikisha kiwango cha hela taslim kuwa 0.85
-
Wafanyakazi wa umma kuongezewa mshahara NSW
07/06/2022 Duración: 05minWafanyakazi wa sekta ya umma jimboni New South Wales, wanatarajia nyongeza ya asilimia tatu kwa mishahara yao.
-
Jean: "Wahutu walio okoa maisha ya watutsi nimashujaa"
06/06/2022 Duración: 07minJamii yawanyarwanda wanao ishi Sydney, Australia walijumuika kwa ibada maalum kuwambuka walio uawa katika mauaji yakimbari dhidi yawatutsi nchini Rwanda.
-
Jane: "Kama mtu alisamehe aliye uwa familia yake, sisi tunasababu gani yakuwa na tafauti"?
05/06/2022 Duración: 05minChuo cha katoliki mjini Sydney kwa mara nyingine, kilikuwa mwenyeji wa ibada yakuwakumbuka walio uawa katika mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Taarifa ya Habari 5 Juni 2022
05/06/2022 Duración: 19minWaziri Mkuu Albanese, atua pamoja na wajumbe kwa mazungumzo na Rais wa Indonesia.