Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:02:25
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Martin" Urusi haijali maslahi yawa Afrika"

    05/08/2023 Duración: 07min

    Kati ya 27-28 Julai, Rais Putin wa Urusi alikuwa mwenyeji wa kongamano la Urusi na mataifa ya Afrika mjini St Petersburg.

  • Taarifa ya Habari 1 Agosti 2023

    01/08/2023 Duración: 16min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese amejibu shtuma za waziri mkuu wa zamani Scott Morrison, kwa kumshtumu kwa kutokuwa na huruma kwa waathiriwa wa mfumo wa Robodebt.

  • Vikao vya Bunge ya Shirikisho vya anza tena baada ya mapumziko ya majira ya baridi

    01/08/2023 Duración: 10min

    Vikao vya bunge la shirikisho vime anza tena baada ya likizo ya mwezi mzima, kwa kiongozi wa upinzani Peter Dutton na waziri mkuu wa zamani Scott Morrison kuzungumzia shutma zilizo tolewa wakati wa likizo kuhusu mienendo yao ya awali.

  • Taarifa ya Habari 30 Julai 2023

    30/07/2023 Duración: 15min

    Muswada wa nyongeza ya malipo ya Jobseeker, unatarajiwa kuwasilishwa bungeni vikao vitakapo anza tena kesho Jumatatu 31 Julai 2023.

  • Taarifa ya Habari 28 Julai 2023

    30/07/2023 Duración: 06min

    Serikali ya shirikisho imetangaza ita wasilisha tena muswada wayo mhimu wa nyumba, vikao vya bunge vitakapo anza tena kutoka likizo yake ya majira ya baridi wiki ijayo jumatatu 31 Julai.

  • Mkataba wa DP World na serikali ya Tanzania wazua upinzani mkali

    27/07/2023 Duración: 11min

    Bunge la Tanzania limeridhia mkataba wa uendeshaji wa bandari nchini humo kati ya Serikali ya Tanzania na ya Dubai.

  • Taarifa ya Habari 25 Julai 2023

    25/07/2023 Duración: 17min

    Waziri Mkuu Anthony Albanese, amesema Australia inahitaji jiandaa kwa msimu wa moto wa vichaka ujao, wakati mioto ya vichaka inaendelea kuchoma maeneo ya Kaskazini ya dunia.

  • Gov Khalif "asilimia 60 ya Mandera iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab"

    25/07/2023 Duración: 07min

    Gavana wa Kaunti ya Mandera Mohamed Adan Khalif, amesema asilimia 60 ya kaunti yake iko chini ya udhibiti wa Al Shabaab.

  • Taarifa ya Habari 23 Julai 2023

    23/07/2023 Duración: 16min

    Mfumo wa sera ya nyumba jimboni Victoria, wapokewa kwa hisia mseto na baadhi ya wadau jimboni humo.

  • Taarifa ya Habari 22 Julai 2023

    23/07/2023 Duración: 05min

    Mweka hazina wa taifa Jim Chalmers ametetea mfumo mpya wa ustawi wakitaifa wa serikali, katika jibu kwa ukosoaji kuwa baadhi ya data inayo tumiwa imepitwa na wakati.

  • Germain "nataka leta aina mpya ya siasa DRC"

    20/07/2023 Duración: 16min

    Kampeni za uchaguzi mkuu zime anza katika Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Taarifa ya Habari 18 Julai 2023

    18/07/2023 Duración: 17min

    Serikali ya shirikisho leo imetangaza kuanzishwa kwa vituo vyakusomea vya vyuo vikuu, katika vitongoji vya nje ya miji mikubwa. Vituo vipya thelathini na nne, vita anzishwa katika maeneo ambayo hayana vyuo na, ambako asilimia ya umma yenye elimu ya juu ziko chini.

página 26 de 26