Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Wito watolewa kwa hatua ya ziada kuchukuliwa kushughulikia gharama ya janga yaki asili
03/06/2025 Duración: 10minUchambuzi mpya wa hazina ume onesha gharama ya Kimbunga Alfred na mafuriko mengine katika majimbo ya New South Wales na Queensland imefika takriban $2.2 bilioni dollars.
-
Taarifa ya Habari 3 Juni 2025
03/06/2025 Duración: 19minSeneta Dorinda Cox wa Magharibi Australia ametangaza anahama kutoka chama cha Greens, na atakuwa Seneta wa chama cha Labor hii leo Juni 3.
-
Who are the Stolen Generations? - Vizazi vilivyo ibiwa ni kina nani?
01/06/2025 Duración: 11minAustralia has a dark chapter of history that many are still learning about. Following European settlement, Aboriginal and Torres Strait Islander children were removed from their families and forced into non-Indigenous society. The trauma and abuse they experienced left deep scars, and the pain still echoes through the generations. But communities are creating positive change. Today these people are recognised as survivors of the Stolen Generations. - Australia ina sura ya giza ya historia ambayo wengi bado wanajifunza kuhusu. Kufuatia ujio wa wazungu, watoto wa wa, Aboriginal na Wanavisiwa wa Torres Strait wali ondolewa kutoka familia zao, nakulazimishwa kuishi katika jumuiya zisizo za kiasili. Kiwewe na unyanyasaji walio pitia uliacha makovu makubwa, na uchungu huo bado una hisika kupitia vizazi. Ila Jamii zinaleta mabadiliko chanya. Leo hawa watu wanatambuliwa kama wahanga wa vizazi vilivyo ibiwa.
-
Taarifa ya Habari 30 Mei 2025
30/05/2025 Duración: 15minWakati inaweza chukua zaidi ya mwaka kwa baadhi ya madai ya bima ya mafuriko kutatuliwa, malipo ya mara moja kwa walio athirika jimboni New South Wales yata anza kutolewa leo 30 Mei 2025.
-
Warudiana tena: mkataba mpya wa upinzani wa mseto baada ya siku nane zaku achana
30/05/2025 Duración: 08minSiku nane baada ya upinzani wa mseto kuachana, vyama vya Liberal na Nationals vime tangaza kuwa vime rudiana tena.
-
Taarifa ya Habari 27 Mei 2025
27/05/2025 Duración: 16minIdadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jimbo [[SES]] imesema nyumba 794 katika kanda ya pwani ya kati ya kaskazini, zime zingatiwa kuwa haziwezi tumiwa tena baada ya zaidi ya tathmini 5000 za uharibifu kufanywa.
-
Tafakari, na wito wakuchukua hatua, katika siku ya Kitaifa yakusema Pole
27/05/2025 Duración: 09minMatukio yame fanyika kote nchini Kuadhimisha Siku ya Kitaifa yakuomba msamaha 26 Mei, hatua ambayo ni kukiri kuondolewa kwa lazima kwa watoto wa Mataifa ya Kwanza kutoka kwa familia na tamaduni zao.
-
Taarifa ya Habari 26 Mei 2025
26/05/2025 Duración: 06minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema hatua ya Israel kuzuia msaada “hai kubaliki kabisa”. Israel ina ruhusu msaada mdogo wakibinadam kuingia Gaza, baada ya takriban miezi mitatu yaku izuia, hali iliyo sababisha uhaba wa chakula na matibabu.
-
UNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC
26/05/2025 Duración: 06minUkosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.
-
Taarifa ya Habari 22 Mei 2025
22/05/2025 Duración: 05minKiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elfu 48,000 kwa sasa wame tengwa kwa sababu ya maji ya mafuriko.
-
SBS Learn Eng pod 84 Jinsi ya kuelezea uwezo wako waku kimbia (Med)
22/05/2025 Duración: 14minJe, unajua jinsi ya kuzungumzia sifa zako za kukimbia au kufanya riadha?
-
Jinsi ya kufurahia maeneo ya nyika ya Australia kwa kuwajibika
22/05/2025 Duración: 14minMandhari yakupendaza na tofauti ya Australia, kuanzia pwani hadi jangwani na yote yaliyo katikati, ni nyumbani kwa mimea ya asili na wanyama wakushangaza.
-
Taarifa ya Habari 20 Mei 2025
20/05/2025 Duración: 17minJimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.
-
Watu wakujitolea wana jukumu kubwa nchini Australia, ila idadi yao inapungua
20/05/2025 Duración: 10minWiki ya kitaifa yakujitolea ime anza, ita kuwa kuanzia 19 Mei hadi 25 Mei 2025.
-
Taarifa ya Habari 16 Mei 2025
16/05/2025 Duración: 15minKiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.
-
Jeremiah "kuna mkanganyo wa maadili yaki Afrika naya wazungu hapa Melbourne"
14/05/2025 Duración: 07minBaadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.
-
Taarifa ya Habari 13 Mei 2025
13/05/2025 Duración: 17minSussan Ley ame chaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha Liberal. Bi Ley alikuwa Naibu Kiongozi wa chama hicho cha Liberal, alimshinda mpinzani wake mwekahazina kivuli Angus Taylor, katika kura yakumchagua kiongozi mpya muda mfupi ulio pita mjini Canberra.
-
Nafasi za baraza la waziri za tangazwa: Nani yuko ndani, nani yuko nje?
13/05/2025 Duración: 09minTanya Plibersek ame shushwa cheo nakupewa wizara ya Huduma za Jamii, wakati Anthony Albanese anatangaza baraza lake la mawaziri, atakao fanya kazi nao katika muhula wake wa pili serikalini.
-
Taarifa ya Habari 9 Mei 2025
09/05/2025 Duración: 18minAnthony Albanese akosolewa kwa kumshasha cheo waziri pekee Muislamu katika baraza lake la mawaziri, wakati vyama vya upinzani vya ongeza juhudi yaku wachagua viongozi wao wapya.
-
Adam Bandt akubali kushindwa, asema chama cha Greens kili feli ku kwea mlima Everest
09/05/2025 Duración: 08minAdam Bandt amekubali ameshindwa nakupoteza kiti chake cha Melbourne bungeni, katika matokeo ambayo yame acha chama cha Greens bila kiongozi.